Leo tunaangalia mandhali tulivu na yenye kuvutia katika eneo la Namanga karibu kabisa na Kilipo kituo cha Polisi cha Osterbay,Jijini Dar es Salaam kama unaelekea Drivein.kiukweli eneo hili linavutia sana hasa kwa ukijani wake uliotawama.
Wednesday, December 10, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment