Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog,mchana huu imeinasa taswira hii ya bonge la dereva (msukuma mkokoteni) akikatiza mitaa ya Sokoine Drive huku akiwa kabeba lumbesa la hatani na fegi yake mdomoni ikiendelea kumpa stimu,tartibuuuuu........!
"Kwakoooooo......."
No comments:
Post a Comment