Siunajua msimu wa xmasi na mwaka mpya unakaribia,mzee wa mtaa kwa mtaa katika kupeleka salamu za xmas na mwaka mpya, akakutana moja kwa moja na mwalimu mstaafu,Mwalimu Semeni Lweja akiwa kazini huku aki shushia vitu vizuri na pindi likiendelea kama kawa.
kutoka kushoto paka akiwa amepumzika kutokana na uchovu wa kujaza matilio mengi kutoka kwa,Ticha Semeni Lweja na katikati alie kamatia kinywaji baridi ni Ticha Lweja na wanafunzi wake pindi likiendelea.

No comments:
Post a Comment