Mdau akivizia kupiga maji huku akinena "kula lazima kuoga hiyari , aogi mtu hapaa" mdau akijipigia sop sop buti nyumbani kwake tayari kwa kuingia mzigoni. taswira mwanana kutoka kitaani kwa kina nanii. Dodo kapiga zake mkanda nje. mdau akirekebisha bendela juu ya bati huku akiwa juu ya tololi. dogo akiwa ndani ya suti na buti huku akijiandaa kuvuka barabara.
No comments:
Post a Comment