HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 12, 2014

HIZI NI BAADHI YA TASWIRA ZA MATUKIO MBALI MBALI NILIYOKUTANA NAYO LEO

 Dereva na Kondakta wake wakitafakari namna ya kulinasua Lori lao lililokwama kwenye dondo mapema leo asubuh katika eneo la Boko,Jijini Dar.
 Hali ya barabara ilivyokuwa wakati Lori hilo limekwama.
 Ukiona Bendera nyekundu jua kuna hatari,laki sijui kwa hawa jamaa kama watakuwa wanamaanisha hivyo.
 Kirikuu imegoma kenda,Tairi na viti vyote nje.
 Kila mmoja anahaku ya kutumua barabara anavyoweza.
 Mambo ya sloo pancha yanavyomchengua jamaa hapa.
 Mama akielekea kuteka maji.
 Chinga akisaka wateja.
 Sheli za Bodaboda maeneo ya nanihii.
 Taswira ya mandhali tulivu iliyoambatana na madogo wakipiga misele huku wakiwa wamenogewa na stori.
 Keka la Bagamoyo - Msata.
 Raha ya kwenda mbali kuteka maji ni stori na asikwambie mtu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad