HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 11, 2014

HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYO KATIKA MAENEO YALIYO KANDO NA BONDE LA MTO MSIMBAZI,VINGUNGUTI JIJINI DAR

Katika pita pita za kila siku mtaani,hivi karibuni kamera yetu ilikatiza maeneo ya Vingunguti pembezoni mwa bonde la Mto Msimbazi na kukutana na hali kama ionyekanavyo pichani hapa.kiukweli mambo si shwari katika eneo hili hasa usalama wa afya kwa wakazi waliozunguka eneo hilo.ukiangalia kwa makini utabaini kuwa kuna watoto wadogo wakiendelea na michezo katika eneo hilo bila kufahamu kuwa wapo hatarini kiafya.
Watoto wakiendelea na michezo.
 Taka zikichomwa moto.
 Makazi ya watu.
 Huyu nae kaja kuhifadhi mzigo.
kwa leo nimeishia hapa,mengine yatawajia kila siku katika maeneo mbali mbali.usikose kutembelea libeneke la Mtaa kwa Mtaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad