HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 17, 2014

DOGO ALAVIZIA KUPIGA DESHI YA KUPIGA MAJI

Siunajua kama sio kitaani kwako ni kitaani kwa mwenzio,libeneke limemnasa dogo mmoja mtaa wa kina naniii palee akijipiga sop sop mwilini mwake,na maji yaliyo pata uvuguvugu wa jua,kwa lengo la kupiga deshi deshi ya kuto kwenda kubafuu.
"hapa leo nikifika home tuu nikupitiliza moja kwa moja jikonI,halafu nikimkuta dingi nampita kama simjui vilee na usiku kama kawa na lala hivi hivi  mmbu watakutana nacho leo hanyonyi mtu damu safi hapaa"
       dogo akiendelea kujifanyia utalamu kwenye mwili wake na maji yalio pata uvugu vugu wa jua.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad