HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 7, 2014

BREAKING NYUZZZZZZZ.....: MTANZANIA IDRIS SULTAN ASHINDA BIG BROTHER 2014

kwa mara nyingine tena,Mtanzania Idris Sultan anawatoa kimasomaso watanzania kwa kuwa mshindi katika shindano la Big Brother Africa 2014 katika jumba la Big Brother huko nchini Afrika Kusini ambapo amejinyakulia Dola 300,000 za Marekani.Ushindi huu unakuja Tanzania kwa mara ya pili baada ya Mtanzania Richard Bezuidenhout kunyakua kitita cha Dola laki moja Mwaka 2008 katika Shindano hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad