HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 17, 2014

AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO

Mnenguaji machachari katika bendi za muziki wa Dansi hapa nchini,Aisha Madinda amefariki dunia mchana huu wakati akiwahishwa kwenye Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es salaam kwa ajili ya matibabu baada ya kuzidiwa ghafla kutokana na maradhi yake yaliyokuwa yakimsumbua.

Aisha Madinda ambaye amewahi kuzitumikia Bendi nyingi za Muziki wa Dansi hapa nchini ikiwemo Bendi ya African Stars wana wa Twanga Pepeta,atakumbukwa sana hasa kwa uhodari wake wa kulishambulia jukwaa.

Mungu aiweke roho yake mahala pema Peponi

-Amin.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad