Mwakilishi wa Sewa, Labhu Thakkar akimkabidhi zawadi mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group,
Naima Malima. Kulia ni Katibu Mkuu wa
Chodawu, Said Wamba.
Mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni mke
wa Mbunge wa Mkuranga, Naima Malima (wa pili kushoto) akizungumza na wanachama
wa kikundi hicho wakati ujumbe wa wanachama wa Kikundi cha Ushirika wa Wanawake
waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) ulipotembelea kikundi hicho kwa lengo
la kujifunza shughuli zinazofanywa na vikundi vya wanawake wajasiriamali vilivyopo
Mkuranga Mkoa wa Pwani. Kushoto ni Mwakilishi wa Sewa, Labhu Thakkar,
Mwenyekiti Mtendaji wa Kiwalani Women Group, Rehema Ngelekele na Katibu Mkuu wa
Chodawu, Said Wamba.
Ujumbe wa wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), wakitoka katika Zahanati ya kijiji cha Msufini Kidete walipofika kuangalia huduma za Afya.
Mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni Mke
wa Mbunge wa Mkuranga, Naima Malima (kulia) akipokelewa na wanachama wa kikundi hicho wakati wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), walipotembelea vikundi vya wajasiriamali wanawake vilivyopo Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Mikeka na vikapu.
Bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali wa Kikundi cha Kiwalani Woman Group.
Wanachama wa Kikundi cha Kiwalani Women Group cha Mkuranga wakiwakaribisha wageni.
Wanachama wa Usharika wa Kikundi cha Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) wakiwasili katika ofisi za Kikundi cha Kiwalani Women Group wakati walipotembelea wajasiriamali wa Mkuranga na kubadilishana uzoefu.
Uyoga uliokaushwa.
Uyoga Mkavu.
Mkurugenzi wa Mradi wa Sankalit Sewa, Shree Kant Kumar akizungumza Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) ulipotembelea kikundi vikundi vya wajasiriamali wanawake vilivyopo Mkuranga.
Mwenyekiti Mtendaji wa Kiwalani Women Group akizungumza wakati ujumbe wa Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) ulipotembelea kikundi hicho kwa ajili ya kujifunza shughuli zinazofanywa na wanawake wajasiriamali wa kikundi hicho.
Tuimbe kwa pamoja.
Wanachama wa Usharika wa Sewa kutoka India wakiimba kwa pamoja na Wanawake wenzao wajasiriamali kutoka Kikundi cha Kiwalani Women Group.
Wanachama wa Ushirika
wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) wakiangalia bidhaa
mbalimbali zinazozalishwa na Wanawake Wajasiriamali wa Kikundi cha
Kiwalani Women Group kilichopo Mkuranga.
Wanachama wa Ushirika
wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) wakiangalia bidhaa
mbalimbali zinazozalishwa na Wanawake Wajasiriamali wa Kikundi cha
Kiwalani Women Group kilichopo Mkuranga.
Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) wakiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Wanawake Wajasiriamali wa Kikundi cha Kiwalani kilichopo Mkuranga.
Katibu Mkuu wa
Chodawu, Said Wamba akizungumza na wanachama wa Kikundi cha Kiwalani Women Group wakati wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Mwakilishi wa Sewa, Labhu Thakkar akimkabidhi Mwenyekiti Mtendaji wa Kikundi cha Kiwalani Women Group,
Naima Malima. Kulia ni Katibu Mkuu wa
Chodawu, Said Wamba.
Mwakilishi
wa Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India
(SEWA), Labhu Thakkar akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya
Kuranga wakati walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo
wilayani hapo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila na mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni mke wa mbunge wa Mkuranga, Naima Malima.
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila akizungumza na Wanachama
wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA)
walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo Wilaya ya Mkuranga
Mkoa wa Pwani, pamoja na kutembelea Zahanati ya kijiji cha Msufini
Kidete. Kushoto ni mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia
ni mke wa mbunge wa Mkuranga, Naima Malima.
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila akipokea zawadi kutoka kwa Mwakilishi
wa Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India
(SEWA), Labhu Thakkar walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo
Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani, pamoja na kutembelea Zahanati ya
kijiji cha Msufini Kidete.
Mkutano
ukiendelea kabla ya wageni kutoka Ushirika wa Wanawake waliojiairi
wenyewe kutoka India (SEWA) kutembelea Zahanati ya Kijiji cha Msufini
Kidete iliyopo Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Wachama wa Ushirika Sewa wakiwa katika mkutano na uongozi wa Kijiji cha Msufini Kidete Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Mtendaji
wa Kijiji cha Msufini Kidete, Seleman Kayombo akitoa taarifa fupi za
utendaji wa kijiji hicho kwa wageni waliofika kutoka Ushirika wa
Wanawake waliojiajiri wenyewe kutoka India (SEWA) walipotembelea
Zahanati ya Kijiji hicho.
Mkurugenzi
wa Mradi wa Sankalit Sewa, Shree Kant Kumar akizungumza wanakijiji wa
Msufini Kidete wakati Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka
India (SEWA) walipotembelea miradi ya maendeleo ikiwemo afya.
Baadhi
ya wananchi wa Kijiji cha Msufini Kidete wakiwasikiliza wageni
waliofika kijijini hapo kutoka katika Ushirika wa Wanawake waliojiairi
wenyewe kutoka India (SEWA), walipotembelea Zahanati ya kijiji cha
Msufini Kidete Mkuranga.
Zahanati ya Kijiji cha Msufini Kidete.
Huduma za afya zikiendelea katika Zahanati ya kijiji.
Baadhi ya wagonjwa wakisubiri huduma za matibabu katika Zahanati ya kijiji cha Msufini Kidete Mkuranga.
Muuguzi
wa zamu Walness Makere akizungumza na waandishi wa habari baada ya
wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India
(SEWA), walipotembelea Zahanati ya kijiji cha Msufini Kidete Mkuranga.
No comments:
Post a Comment