HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 4, 2014

TBC KUONESHA LIVE RAIS KIKWETE ANAPOONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose kuangalia mazungumzo hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja na mtandao wa www.ikulu.go.tz 

 IMETOLEWA NA 
KITENGO CHA MAWASILIANO YA RAIS IKULU, NOVEMBA 4, 2014

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad