HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 29, 2014

TANDIKA VICOBA GROUP YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB), Margareth Chacha (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tandika Vicoba Group (Tavico), uliofanyika katika viwanja vya Kanisa Katoliki la Chang'ombe Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tavico, Sarah Chikuni, wengine ni wanachama.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB), Margareth Chacha (kulia), pamoja na Mwenyekiti wa Tavico, Sarah Chikuni wakikata keki maalumu ya uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Kanisa Katoliki la Chang'ombe Dar es Salaam jana
Hapa ni mserebuko kwa kwenda mbele.
 Wanachama wa Tandika Vicoba Group (Tavico), pamoja na wageni waalikwa wakiserebuka katika hafla ya uzinduzi wa Tavico uliofanyika viwanja vya Kanisa Katoliki la Chang'ombe Dar es Salaam leo.
Wanachama wa Tavico wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wanachama wa vicoba kutoka Yombo Makangarawe nao walijumuika katika uzinduzi huo.
Hapa wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad