Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana.David na steven.Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin akipima sikio kwa mmoja wa watoto waliohudhuria kliniki iliyokwenda sambamba na ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana.
Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana.
No comments:
Post a Comment