HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 14, 2014

taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013 yatolewa leo mjini dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge),Mh. William Lukuvi akisoma taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013,wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari (hawapo pichani) Mjini Dodoma leo.
Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo.
Kitabu cha Kurasa 56 chenye taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa Mwaka 2013.
Baadhi ya picha za vielelezo ndani ya taarifa hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad