Mke wa Jaji John Ruhangisa, Marehemu Laetitia
Kokuhangisa Ruhangisa enzi za uhai wake.
Jaji John Ruhangisa (wa pili kushoto), akiwa na watoto wake wakati wa ibada ya mazishi ya mke wake Laetitia Kokuhangisa Ruhangisa iliyofanyika nyumbani kwake katika Kijiji cha Ibwera mkoani Kagera leo jioni. Kutoka kulia ni mtoto wake wa kwanza Moreen, David na Fiona.
Mapadre 30 wa Kanisa Katoliki wakiwa kwenye ibada
hiyo ya mazishi.
Viongozi mbalimbali , majaji, watawa na wananchi
wakiwa kwenye ibada hiyo.
Waimbaji wa Kwaya ya Kanisa Katoliki Parokia ya Ibwera
nao walikuwepo kutoa burudani.
Watoto wa Kanisa Katoliki wanaoshiriki kuongoza ibada mbalimbali wakiwa kwenye ibada ibada hiyo.
Watoto wa Kijiji cha Ibwera nao walijumuika katika
mazishi ya mama yao Kokuhengesa.
Jaji John Ruhangisa akimfariji mtoto wake David.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Bukoba, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Hery Mwaibambe akimpa pole mtoto wa marehemu, David.
Hii ndio nyumba ya milele ya ya mpendwa wetu mke wa Jaji John Ruhangisa, Marehemu Laetitia Kokuhangisa Ruhangisa. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu, Laetitia Kokuhangisa Ruhangisa wakielekea kaburini tayari kwa mazishi.
Jeneza likishushwa kaburini.
Jaji John Ruhangisa akiweka udongo kaburini wakati wa
mazishi ya mke wake.
Padre aliongoza ibada hiyo akiweka msalaba katika kaburi la Laetitia Kokuhangisa Ruhangisa.
Jaji John Ruhangisa akifarijiana na watoto wake Moreen (kulia)
na Fiona. Hakika inahuzunisha.
Jaji John Ruhangisa na watoto wake wakiweka shada
la maua kaburini.
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr. James Rugemalira akisaini katika kitabu cha maombelezo.
Mdau Erick Kashasha naye alikuwa ni miongoni mwa waombolezaji waliosaini katika kitabu cha maombolezo.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akisaini katika kitabu cha maombolezo.
No comments:
Post a Comment