HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 15, 2014

MAANDALIZI YA MJI WA MOSHI KUWA JIJI YAZIDI KUSHIKA KASI


Jengo zilipo ofisi za mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro .
Eneo la Shanty town linavyoonekana kwa mbali.
Jengo la ofisi ya Mkuu a mkoa wa Kilimanjaro linavyoonekana kwa juu.
Katikati ya mji wa Moshi
Jengo la ofisi ya mkuu wa wilaya ya Moshi linavyoonekana kwa juu.
Eneo la kati jirani na ofisi za mkuu wa wilaya ya Moshi.
Ujenzi wa jengo jipya la Ghorofa jirani kabisa na kipta shoto cha Arusha.
Eneo la katikati ya mji wa Moshi.
Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad