HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 14, 2014

Maandalizi ya Gari la Maharusi

Kama kawaida ya libeneke hili la mtaa kwa mtaa,limetupia jicho katika mtaa moja na kukuta hali hii ya maandalizi ya gari la sherehe ya harusi,Tazama gari la maharusi likiwa limepigwa sopsop na mapambo ya nguzu tayari kwa safari ya kwenda kuwabeba maharusi watakapokuwa wamemeremeta na kuwaka waka na kuanza kupiga misele ya mzunguko wa hapa na pale ili waweze kupata picha za kumbukumbu mwanana kabisa.hii ni jijini Mbeya leo hii. Picha na Fadhil Atick.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad