HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 29, 2014

KERO YA UBOVU WA BARABARA NA DIMBWI LISILOKAUKA MAJI HAPA MBOZI ROAD, CHANG'OMBE

Habari Kaka Othman, pole na majukumu.

Ningeomba utusaidie kutundika uzi huu huenda ukasaidia wahusika (Manispaa ya Temeke) wakaamka toka usingizini, kwani ni kipindi kirefu sasa sisi watumiaji wa njia hii MboziRoad - Chang'ombe huwa tunapata adha na usumbufu usio kifani kuweza kuvuka eneo hili wakati wa kwenda na kurudi katika harakati za kulijenga taifa
Magari yakijaribu kukwepa mashimo yaliyopo katikati ya barabara.
Watembea kwa miguu nao wakiwa wamekunja suruali zao ili kuweza kuvuka hapo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad