HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 18, 2014

Foleni ya Daladala kituo cha Mabasi Banana,Ukonga

Leo katika pita pita za Mtaa Kwa Mtaa Blog,iliunasa muonekano huu wa Daladala zikiwa kwenye foleni katika Kituo cha Banana,jijini Dar es Salaam.Huu ni utaratibu mzuri sana kwakweliii na ni vyema kwa Daladala zingine kufuta utaratubu huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad