Uzinduzi wa the vintage night ulio fanyika katika ukumbi wa Mama Land
Pub uliopo forest jijini mbeya,unaohusisha maonyesho mbalimbali ya
mitindo pamoja na burudani ya live band kutoka the Moon Light
Band,Ambayo itakua ikifanyika kila ijumaa katika ukumbi wa Mama Land
jijini mbeya.
baadhi ya wanamitindo kutoka jijini mbeya
wakionyesha mitindo mbali mbali katika uzindozi wa the Vintage
Night jijini mbeya.Picha na Fadhil Atick,Mtaa kwa Mtaa Blog - Mbeya.
No comments:
Post a Comment