HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 9, 2014

NANI MTANI JEMBE YATAMBULISHWA RASMI KWA WAFANYAKAZI WA TBL MWANZA

Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania - Mwanza wakicheza danadana katika hafla ya utambulisho wa kampeni ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi hao jijini Mwanza jana.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mwanza wakishindana kuvuta kamba katika hafla ya utambulisho wa kampeni ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi hao jijini Mwanza jana.
Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiitambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe inyoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania jijini Mwanza jana.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Iddi Kajuna akiwahutubia wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania kwenye hafla ya kuitambulisha Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi hao jijini Mwanza jana.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga akimkabidhi John Mazula kadi ya uanachama wa Yanga wakati wa kuitambulisha Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania jijini Mwanza jana.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania - Mwanza wakicheza foosball katika hafla ya utambulisho wa kampeni ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi hao jijini Mwanza jana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad