Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akifanya mazoezi katika mitaa ya mji wa Dodoma mapema leo asubuhi kabla ya kwenda kuhudhulia vikao vya Bunge maalum la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma.Mh. Lowassa aliwahi kutamba sana kwenye mchezo wa mpira wa kikapu zamani.
Tuesday, September 9, 2014

MAZOEZI KWA AFYA: MH. LOWASSA AONYESHA MFANO KWA KUPIGA TIZI MTAANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment