HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 8, 2014

HAKITUPWI KITU HAPA.....

 Katika pita pita za kila siku ili kuhakikisha libeneke la Mtaa kwa Mtaa halilali,Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog ilibahatika kuzinasa Taswira hizi za Kijana huyu aliekuwa njiani kuelekea kwenye biashara ya kuuza Maandazi,wakati akiyapanga vyema Maandaz hayo baad ya baadhi yake kuanguka chini.
 Mara wakati anaanza tena kunyanyua,moja likaanguka.
 Dogo asema usintanie wee Andazi,hapa hakibaki kitu.akainama chini na kuota kisha kulipiga sop sop kidogo na kulirudisha kwenye beseni.Picha na Fadhil Atick.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad