HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 10, 2014

ZESCO YATIBUA FURAHA YA WANASIMBA TAMASHA LA SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA

 Beki wa timu ya zesco, Zimisileni Moyo (juu) akichuana na mshambuliaji wa simba, Oasainou Manneh, kuwania mpira wakati wa mchezo wa kirafiki katika Tamasha la Simba Day,lililofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Katika mchezo huo Simba ilikubari kichapo cha mabao 3-0. Picha na www.sufianimafoto.com
 Amri Kiemba wa simba (kulia) akimtoka Clatous Chama, wakati wa mchezo huo.
 Beki wa simba William Lucian (katikati) akimtoka mchezaji wa Zesco, Winston Kalengo,wakati wa mchezo huo.
 Mwimbaji wa bendi ya Twanga Pepeta, Kaalala Junior, akiimba wakati bendi hiyo ilipokuwa ikitoa burudani katika Taamasha hilo.
 Kalala akiwachezesha wanenguaji wake.
 Wanenguaji wa Twanga, wakishambulia jukwaa.
 Wanamuziki wa twanga wakiimba uwanjani hapo..
 Sehemu ya mashabiki wa Simba waliohudhuria Tamasha hilo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Barnaba, akiimba uwanjani hapo wakati wa Tamasha hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad