HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 7, 2014

Wakulima Dodoma wasifu Ufanisi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika kuwezesha Usafirishaji wa Mazao na Uagizaji wa Pembejeo za Kilimo


Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (wapili kulia) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda (wapili kulia) wakati alipotembelea Banda la TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni, Dodoma kutoka kwa.
Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw.  Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni, Dodoma. Kushoto ni Afisa Mkuu wa TPA, Bi. Lydia Mallya na Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (kulia).
Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw.  Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa TPA na Wageni wengine wakati alipotembelea Banda la TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni, Dodoma.
Afisa Mawasiliano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari TPA Focus Mauki (kushoto) akiwaelezea kuhusu huduma zinazotolwa na TPA, baadhi ya wakazi wa mkoa wa Dodoma waliotembelea banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari TPA lilopo kwenye maonesho ya NaneNane ya Kanda ya Kati yanayoendela katika viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma.
Baadhi ya wanafunzi waliotembelea banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari TPA wakimsikiliza kwa makini Afisa Mawasiliano wa Mamlaka hiyo Focus Mauki,wakati walipotembelea banda hilo lwa ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali za bandari katika Maonesho ya Nanenane Kanda ya kati yanayoendelea kwenye viwanja vya vya Nzuguni mjini Dodoma.
Banda la Mamlaka ya Bandari TPA likiwa katika muonekano kwenye maonesho ya Nanenane ya Kanda ya Kati yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad