Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TAZARA Bw. Ronald Phiri zawadi ya picha ya jengo la makao makuu ya TAZARA akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na viongozi wengine ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la
TAZARA wakati wa safari ya Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara
yake ya mkoa wa Morogoro.
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera, Mbunge wa Morogoro Kusini Mhe
Innocent Kalogeris na KAtibu wa Rais Bw. Prosper Mbena wakiongea ndani
ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya Rais
Kikwete kuelekea Kisaki mkoani Morogoro.
Mama
Salma Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli, Mkurugenzi
Mkuu wa TAZARA Bw. Ronald Phiri (kulia) na viongozi wengine ndani ya
behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya Rais Kikwete
kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika kituo cha Kisaki baada ya kusafiri kwa treni katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakilakiwa na umati mkubwa wa watu baada ya kuwasili katika kituo cha Kisaki baada ya kusafiri kwa treni katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Wananchi waliojitokeza kwa wingi kumlaki baada ya kuwasili katika kituo cha Kisaki baada ya kusafiri kwa treni katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika mkoa wa Morogoro. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment