.jpeg)
Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, (Kushoto), akiwahudumia wananchi waliotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya wakulima Nane Nane, mkoani Lindi juzi. Kilele cha maonyesho hayo yaliyoandaliwa kwa pamoja na mikoa ya Lindi na Mtwara, yatafanyika Agosti nane mkoani Lindi.
Mkulima
huyu akionyesha furaha wakati akihudumiwa na Mfanyakazi wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya
wakulima 88 mkoni Lindi juzi.
Maafisa
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, (Kulia), wakiwasikiliza wananchi hawa
waliotembelea banda la Mfuko huo, kwenye maonyesho ya wakulima 88 mkoani
Lindi juzi.

.jpg)
.jpeg)
.jpeg)
No comments:
Post a Comment