Meya wa Kinondoni, Mstahiki Yusuf Mwenda akimkabidhi (kushoto) akimkabidhi kapteni wa
timu ya Musoma A Veterani, Ramadhani Magoe mfano wa tiketi ya ndege kwenda kutembelea
uwanja wa Camp Nou, Barcelona baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa mashindano ya Castle
Lager Perfect 6 kitaifa katika fainali hizo zilizochezwa kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es
salaam. Kwa hisani ya Castle Lager, mabingwa hao watasafiri mwezi kwenda kutembelea uwanja
wa Camp Nou unaomilikiwa na FC Barcelona huko Hispania.
Kapteni wa timu ya Musoma A Veterani, Ramadhani Magoe akionyesha mfano wa tiketi ya
ndege kwenda kutembelea uwanja wa Camp Nou, Barcelona baada ya timu yake kutwaa
ubingwa wa mashindano ya Castle Lager Perfect 6 kitaifa katika fainali hizo zilizochezwa kwenye
viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam. Kwa hisani ya Castle Lager, mabingwa hao watasafiri
mwezi kwenda kutembelea uwanja wa Camp Nou unaomilikiwa na FC Barcelona huko Hispania.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Buttallah (kushoto), Mkurugenzi
wa Masoko wa TBL, Kushilla Thomas (wa pili kushoto) na Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda
wakimkabidhi kapteni wa timu ya Musoma A Veterani, Ramadhani Magoe kombe baada ya
timu yake kutwaa ubingwa wa mashindano ya Castle Lager Perfect 6 kitaifa katika fainali hizo
zilizochezwa kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam. Kwa hisani ya Castle Lager,
mabingwa hao watasafiri mwezi kwenda kutembelea uwanja wa Camp Nou unaomilikiwa na FC
Barcelona huko Hispania.
Kapteni wa Musoma A Veterani, Ramadhani Magoe (aliyebeba kombe) akishangilia na wachezaji
wenzake baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa mashindano ya Castle Lager Perfect 6 kitaifa
katika fainali hizo zilizochezwa kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam. Kwa hisani
ya Castle Lager, mabingwa hao watasafiri mwezi kwenda kutembelea uwanja wa Camp Nou
unaomilikiwa na FC Barcelona huko Hispania.

unaomilikiwa na FC Barcelona huko Hispania. Waliosimama kuanzia kushoto ni Meneja Masoko
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Buttallah (kushoto), Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,
Kushilla Thomas na Meneja wa Castle Lager, Kabula Nshimo.
Kapteni wa Musoma A Veterani, Ramadhani Magoe (aliyebeba kombe) akishangilia na wachezaji
wenzake baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa mashindano ya Castle Lager Perfect 6 kitaifa
katika fainali hizo zilizochezwa kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam. Kwa hisani
ya Castle Lager, mabingwa hao watasafiri mwezi kwenda kutembelea uwanja wa Camp Nou
unaomilikiwa na FC Barcelona huko Hispania.
No comments:
Post a Comment