Naibu Waziri wa Fedha,Mh.Mwigulu Nchemba akiangalia sehemu aliyokuwa amebanwa Kondakta wa Gari hilo (pichani) lililopata ajali jana katika barabara kuu ya Dar - Iringa kutokana na kugonga Ukuta pembezoni mwa Barabara hiyo.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akizungumza na Kondakta wa lori hilo lililopata ajali mara baada ya Kumnasua kwenye roli hilo.Kijana anaonekana kuugulia maumivu makali kwenye Mkono.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akitoka huduma ya Kwanza kwa Majeruhi wa ajali hiyo.
Huyu ni Dreva akijaribu kuwasha Gari hilo.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akiendelea kutoa huduma ya kwanza kwa Majeruhi kabla ya kumkimbiza kwenda hospitali ya Wilaya ya Mikumi.Picha na Festo Sanga.
No comments:
Post a Comment