HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 7, 2014

LHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA UTUNGAJI WA KATIBA MPYA TANZANIA UNAOENDELEA DODOMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa Katiba Mpya ya Tanzania unaoendelea Dodoma. Kushoto ni Mtetezi wa Haki za Wanawake, Ananilea Nkya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba (katikati), akisoma taarifa hiyo kwa wanahabri.
Mtetezi wa Haki za Wanawake, Ananilea Nkya (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Ofisa Mipango kutoka Taasisi ya Sikika, Patrick Kinemo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba
Mwanasheria wa LHRC, Harold Sungusia (katikati), akitoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu mchakato huo wa Katiba Mpya. Kulia ni Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Picha na Dotto Mwaibale.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad