Meneja Mauzo wa Kanda, Omar Madaya (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kuzindua kinywaji hicho iliyofanyika Dar es Salaam jana.
Meneja Mauzo wa SBC, Godlisten Mende (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Maofisa wa Kampuni hiyo Godlisten Mende (kulia), na Omari Madaya wakionesha kinywaji hicho kwa waandishi wa habari.
Kinywaji cha mirinda Green Apple kikiwa katika chupa.
Wanahabri wakiwa kwenye hafla hiyo ya uzinduzi wa kinywaji hicho kipya.
Wanahabari wakichangamkia kinywaji hicho.
Mmoja wa maofisa wa SBC (kushoto), akiwaelekeza jambo wenzake.

Safi sana.
ReplyDeleteHongereni SBC. Nadhani green apple ni flavor pekee nchini kwasasa.
Pongezi kwenu