Mkeka wa nguvu kuelekea Tukuyu Mpaka Kyela ukiwa unatokea Mbeya Mjini.
Ukungu umetanda katika kila kona ya Mji huu wa Rungwe Tukuyu,hii ni kutokana na hali ya Baridi kali iliopo katika Mkoa wa Mbeya kwa hivi sasa.
Wadau wakipiga spana baada ya gari walilokuwa wakisafiri nalo kuleta zengwe maeneo ya Namba wani.
Kwa watumiaji wa Magari katika barabara hii ni lazima wawashe taa,maana bila hivyo laweza tokea lolote kutokana na ukali wa Ukungu huo.
Masela wakiwa Kitaa.
Majengo ya Tukuyu Wilayani Rungwe,Mkoani Mbeya.
Kona ya Matangazo.
Kilingeni.Picha zote na Fadhil Atick - Mtaa kwa Mtaa Blog,Mbeya.

No comments:
Post a Comment