HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 27, 2014

Hii nimeinasa mchana wa leo maeneo ya Victoria jijini Dar

Katika pita pita zangu za kila siku katika kuhakikisha libeneke la Mtaa kwa Mtaa linasongeka vyema,nilibahatika kukatiza maeneo ya Victoria na kukuta sehemu ya barabara ya Kairuki ikiwa imefungwa,nilijiuliza kidogo sababu ya kufungwa kwa njia hiyo.mara nikabaini kuwa kuna chemba inafanyiwa makeke lakini wahusika sikuwaona,nilipopepesa macho mbele kidogo nikamuona mtaalam mmoja wa kazi wa kuzibua mitaro akiwa kauchapa usingizi pembeni,na hapo ndio nikajua sababu rasmi ya kufungwa kwa njia hiyo.
Fundi kazini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad