HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 5, 2014

BALOZI WA UJERUMANI NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke alipokuwa akimfafanulia jambo wakati Balozi huyo na Naibu wake walipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ujerumani na Tanzania.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akiagana na Naibu Balozi wa Ujerumani nchini, John Reyels wakati Naibu huyo na Balozi wake, Egon Kochanke (katikati) walipomaliza mazungumzo na Waziri Chikawe ofisini kwake Dar es Salaam baada ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ubalozi huo na Wizara yake. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad