Maandalizi ya Futari iliyoandaliwa na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe yakifanyika. |
Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe akiwakaribisha waumini wa dini ya Kiislamu katika futari aliyoandaa kwa ajili yao katika eneo la Ikulu wilayani Mwanga. |
Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu alipowaalika kwa ajili ya Futari aliyoandaa kwa ajili yao eneo la Ikulu wilayani Mwanga. |
Mke wa Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe ,Kudra Maghembe akiwakaribisha waumini wa dini ya Kiislamu katika futari iliyoandliwa kwa ajili yao. |
Waumini wa dini ya Kiislamu wakisali swala ya Magharibi katika eneo la Ikulu wilayani Mwanga kabla ya Futuru iliyoandaliwa na Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe. |
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakipata Futari . |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment