HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 24, 2014

taarifa kuhusu kivuko cha MV. Kigamboni

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) anawatangazia wananchi wote kuwa kivuko cha MV. Kigamboni kinatarajiwa kwenda kwenye matengenezo makubwa wakati wowote kuanzia leo.

Hivyo huduma za uvushaji zitaendelea kwa kutumia vivuko vya MV. Magogoni pamoja na MV. Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika.

Uongozi wa TEMESA unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.
Kivuko cha MV. Kigamoni

Imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu
TEMESA
23/7/2014

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad