HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 29, 2014

SWALA YA EID EL FITR JIJINI ARUSHA

Sheikh wa mkoa wa Arusha,Shaban bin Jumaa akitoa hotuba ya Idd kwa waumini wa dini ya kiislamu na kuwataka kudumisha amani na mshikamano miongoni mwa waumini wa dini nyingine ilikuweka katika hali ya utulivu mkoa wa Arusha ilikuweza kujiletea maendeleo endelevu kama mafundisho ya dini yanavyowataka.
waumini wa dini ya kiislamu wakihitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wakiwa kwenye ibada ya swala ya Iddy el Fitry kwenye uwanja wa sheikh Amri Kaluta Abeid jijini Arusha. Picha na Mahmoud Ahmad.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad