HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 21, 2014

"Selfies" toka Mkutano wa UKIMWI, Melbourne, Australia

Mbunge wa Kigamboni na Mwakilishi wa Bara la Afrika katika Taasisi ya Kimataifa ya UKIMWI duniani (International AIDS Society), Dkt Faustine Ndugulile (MB) akipiga picha ya "Selfie" na Bibi Hellen Clarke, Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya UNDP na Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand baada ya kikao cha pamoja cha Wabunge wa mabara mbalimbali kilichofanyika tarehe 21.07.2014 huko Melbourne, Australia.
Dkt Ndugulile MB akipiga picha ya "selfie" na mkurugenzi mkuu wa UNAIDS, Dkt Michel Sidibe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad