Katika pita pita za Kamera ya Mtaa kwa Mtaa katika maeneo mbali mbali ndani ya jiji la Dar,ilibahatika kukatiza maeneo ya Msasani na kukutana na Mdau huyu akiliweka levo pilau la Idd kwa mtindo wa aina yake.
Wednesday, July 30, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment