HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 18, 2014

KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM CHATOA TAMKO LAKE JUU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014

 Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa kilicho chini ya Taasisi ya Policy Forum,Bw. Hebron Mwakageda (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji kufanyika mwaka huu.
Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Policy Forum,Bw. Israel Ilunde akifafanua jambo wakati mkutano huo na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji kufanyika mwaka huu.Kulia ni Mwenyekiti Mwenza wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa kilicho chini ya Taasisi ya Policy Forum,Bi. Regina Katabi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad