HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 26, 2014

JANUARY MAKAMBA AONGOZA MKUTANO WA WANAMUZI WA MUZIKI WA INJILI NA WASAMBAZAJI ULIOFANYIKA LEO HOTELI YA WANYAMA SINZA JIJINI DAR

Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba, akisalimiana na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki Tanzania (TAMUNET), John Kitime.
Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba, akisalimiana na Mzee Makassy.
Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba, akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa COSOTA, Doreen Sinare.

Rais wa Shirikisho la Muziki wa Injili Tanzania (TAF), Ado Novemba (kushoto), akimuongoza mgeni rasmi Mhe. January Makamba kuingia ukumbini.
Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba (kulia), akizungumza na wadau wa Muziki wa Injili Tanaznia Hoteli ya Wanyama Sinza Dar es Salaam leo.
Rais wa Shirikisho la Muziki wa Injili Tanzania (TAF), Ado Novemba (kushoto), akizungumza na wadau wa Muziki wa Injili Tanaznia Hoteli ya Wanyama Sinza Dar es Salaam leo kabla ya kumakribisha mgeni rasmi wa mkutanmo huo, Mhe. January Makamba.
Mwimbaji, Adelita Mshumba akitoa burudani katika mkutano huo.
Wanamuziki wa nyimbo za Injili wakiwa kwenye mkutano huo. Kutoka kulia ni Enock Jonas, Dyna Sakatebela na Joyce Ombeni.
Wadau wa muziki wa Injili wakiwa kwenye mkutano huo.
Katibu wa Shirikisho la Muziki wa Injili John Shaban akiendesha mkutano.
Wadau wa eneo la usambazaji wa kazi za wanamuziki wakiwa kwenye mkutano huo.
Wadau wa muziki wa Injili wakiwa kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki Tanzania (TAMUNET), John Kitime, akizungumza na wadau hao katika mkutano huo
Ofisa Mtendaji Mkuu wa COSOTA, Doreen Sinare (kulia), akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimba kwa wadau wa muziki wa Injili. Wa pli kulia ni Muimbaji wa nyimbo za Injili, Christina Shusho.
Balozi mstaafu, Profesa Coster Mahalu akizungumza na wadau wa muziki wa nyimbo za Injili. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Kinondoni Revival Choir, Dk. Jotham Mackenzie
Wadau wa muziki wakiwa kwenye mkutano huo wakifuatiliamambo mbalimbali.
Wadau wa muziki wakiwa kwenye mkutano huo. Imeandaliwa na www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad