HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 27, 2014

.....hii kanzu inakaa hivi sheikh Pinda....

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sawa kanzu ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda kabla ya kushiriki katika futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad