Nyumba hii inapangoshwa,ipo Mkoani Dodoma ina vyumba vinne vya kulala,Sebule kubwa,sehemu ya kulia chakula,stoo,jiko na Chumba kikubwa na choo cha jumuiya.inanafasi kubwa ya Maegesho ya Magari yanayozidi manne na choo cha nje kwa ajili ya wageni.
Ipo Area D karibu na Maghorofa ya Wabunge.Inafaa kwa Makazi na Matumizi ya Kiofisi.
kwa Mawasiliano zaidi
Piga namba
Ipo Area D karibu na Maghorofa ya Wabunge.Inafaa kwa Makazi na Matumizi ya Kiofisi.
kwa Mawasiliano zaidi
Piga namba
0658 198 889,0767 856 932
No comments:
Post a Comment