HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 13, 2014

Rais Kikwete atembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Mkoa wa Pwani


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza wakikagua athari za mafuriko zilizoharibu vibaya barabara ya Chalinze- Dar es Salaam eneo la Ruvu Darajani leo.Mamia ya abiria walikuwa wamekwama kutokana na mafuriko hayo(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad