MAALIM MUHIDIN GURUMO ENZI ZA UHAI WAKE.
ALIEKUWA KIONGOZI WA BENDI YA MSONDO NGOMA BABA YA MUZIKI,MAALIM MUHIDIN GURUMO AMEFARIKI DUNIA MCHANA WA LEO MARIJA YA SAA NANE KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA KWA MATIBABU.
MAALIM GURUMO AMEFIKWA NA MAUTI HAYO BAADA YA KUSUMBULIWA NA MARADHI KWA KIPINDI KIREFU,HALI ILIYOMPELEKEA KUSHINDWA KABISA KUONEKANA TENA JUKWAANI.
MSIBA UPO NYUMBANI KWAKE TABATA MAKUBURI NA MIPANGO YOTE ITAFANYIKA HAPO.
TUNAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAALIM GURUMO MAHALA PEMA PEPONI.
- AMIN.
No comments:
Post a Comment