HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 13, 2014

HOFU YA KUTOKEA MAFURIKO,WAKAZI WA KATA YA MABOGINI-KILIMANJARO WAITANA MSARAGAMBO KUZIBA MAPITIO YA MAJI

Wakazi wa Kitongoji cha Bogini wakiwa wamejitikeza kwenye Msaragambo kwa ajili ya kuchimba na kufukia kwa vifusi maeneo ambayo ni mapitio ya maji kwenda kwenye makazi ya watu.
Wakazi wa kata ya Mabogini wakiwa katika Msaragambo.
Shughuli ya kuziba maeneo korofi iliendelea.
Hata wale wasio na vitendea kazi walilazimika kutumia mikono kufanya shughuli hiyo.
Sehemu ya barabara ikizibwa na mabaki ya mmatofari ya kuchoma.
Shughuli ya kuziba maeneo hayo ikiwa imekamilika .

Barabara ya kuingia kata ya Mabogini kama inavyoonekana ,barabara hii ni kama imeterekezwa hivi ,na imekuwa ni changamoto kubwa kwa wakazi waishio kata ya mabogini na vijiji vya jirani kutokana na kushindwa kupitika kutokana na kuwa na mashimo.
Sehemu ya barabara hiyo kama inavyoonekana mashimo ambayo yamekuwa chanzo cha uharibifu wa vyombo vya usafiri katika maeneo hayo zikiwemo daladala.


















Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

1 comment:

Post Bottom Ad