HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 25, 2014

Dr. Fennela Mukangara akutana na Ujumbe kutoka shirika la International Youth Foundation wajadili kudumisha ushirikiano

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara (kulia) akiongea na Rais na Mwanzilishi wa International Youth Fellowship kutoka Korea Mchungaji Ock Soo Pack (kushoto )na ujumbe wake (haupo pichani) ambapo walizungumzia mambo mbalimbali ikiwa ni juhudi za kudumisha ushirikiano baina ya pande mbili.Makao Makuu ya Shirika hilo ni Korea Kusini
Rais na Mwanzilishi wa International Youth Foundation Mchungaji Ock Soo Pack (kushoto ) na ujumbe wake (haupo pichani) akisisitiza jambo kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara wakati ujumbe huo ulipomtembelea Waziri Ofisini kwake ambapo waliongea  mambo mbalimbali kuhusu kudumisha ushirikiano baina ya pande mbili. (Picha na Benjamin Sawe).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad