Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Al Ahly
Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa akiondoka na mpira huku Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri akitafuta namna ya kumzuia katika Mchezo unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi sasa.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika na hakuna timu iliyoona lango la mwenzake.
Kiungo mchezeshaji wa Yanga,Haroun Niyonzima akitafuta namna ya kuwatoka mabeki wa Timu ya Al Ahly ya Misri katika Mchezo unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi sasa.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika na hakuna timu iliyoona lango la mwenzake.
Kiungo mchezeshaji wa Yanga,Haroun Niyonzima akizuiwa na Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri,Ramy Abdel Aziz katika Mchezo unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi sasa.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika na hakuna timu iliyoona lango la mwenzake.
Kipa wa timu ya Al Ahly ya Misri,Sherif Ekramy Ahmed akida moja ya hatari iliyokuwa ikielekeshwa langoni kwake na Mshambuliaji wa Yanga,Hamis Kiiza.
No comments:
Post a Comment