Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini,Bwana Lephy Gembe akiwasili katika kata ya Mpunguzi katika shughuli za uhamasishaji wa kutumia vyakula vyenye virutubushi ambao unafanywa na USAID kupitia mradi wake wa Tuboreshe Chakula.
Mkurugenzi
Mkazi wa mradi wa Tuboreshe Chakula,Unaofadhiliwa na Shirika la misaada
la watu wa marekani USAID,Bi. Rebecca Savoie katikati,akitoa paketi ya
unga wa uji uliochanganywa na virutubishi kwa mmoja wa wakazi wa kata ya
Mpunguzi aliyehudhuria uhamasishaji wa lishe kwenye kata hiyo.
Mkurugenzi
Mkazi wa mradi wa Tuboreshe Chakula,Unaofadhiliwa na Shirika la misaada
la watu wa marekani USAID Bi Rebecca Savoie katikati,na maofisa wenzake
kutoka mradi huo wakifurahi na wananchi wa Mpunguzi kwa kupiga makofi
wakati wa uzinduzi wa kampeni ya lishe kwenye kata hiyo leo.
No comments:
Post a Comment