 |
| Mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa ameambatana na mkuu wa wilaya ya
Moshi,Ibrahim Msengi wakiwa na mwenyeji wao mkurugenzi wa mamlaka ya
maji safi na maji taka mjini Moshi,(MUWSA)mhandisi Cyprian Luhemeja
wakati akitembelea chanzo cha maji cha Cofee Curing. |
 |
| Chanzo cha Maji
cha Cofee Curing. |
 |
| Jengo dogo
ambalo linatumika kuhifadhi dawa maalumu ya kuweka kwenye maji kwa
ajili ya Chlorination. |
 |
| Mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Leonidas Gama akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maofisa
wa MUWSA. |
 |
Mkurugenzi wa
mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi(MUWSA)Injinia Cyprian
Luhemeja akifafanua jambo kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas
Gama wakati alipotembelea Tanki la maji la Kil.(Kulia)ni mkuu wa
wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi.
|
 |
| Mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Leonidas Gama akipata maelezo kutoka kwa mafundi wa
kampuni ya kuchimba visima ya DOCA inayochimba visima katika eneo la
Kil Tank. |
 |
| Uchimbaji wa
Kisima ukiendelea. |
 |
| Mkurugenzi wa
mamlaka ya maji saf na maji taka mjini Moshi(MUWSA)Mhandisi Cyprian
Luhemeja akimuongoza mkuu wa mkoa wa KilimanjaroLeonidas Gama,pamoja
na mkuu wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi kutembelea Tanki za kuhifadhia
maji eneo la CCP. |
 |
| Mkurugenzi wa
MUWSA ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akimuonesha mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Leonidas Gama eneo ambalo mamlaka hiyo inatazamia kuchimba
kisima kingine kwa ajili ya kuongeza kiwango cha upatikanaji wa
maji. |
 |
| Mkuu wa mko wa
Kilimanjaro Leonidas Gama akisaidiwa kuvuka wakati akitembelea chanzo
kikuu cha maji cha Nsere. |
 |
| Mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Leonidas Gama akipata maelezo kutoka kwa mkurugenzi wa
mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,Mhandisi Cyprian
Luhemeja alipotembelea chanzo cha maji cha Nsere. |
 |
| Afisa wa
kusimamia uwekaji wa dawa katika maji,Shabani Mwamba akitoa maelezo
kwa mku u wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama namna Chlorination
inavyofanyika |
 |
| Meneja ufundi
wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,Patrick Kibasa akitoa
maelezo kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama alipotembelea
eneo la Mabogini kunako hifadhiwa maji taka. |
 |
| Miundo mbinu ya
maji taka inavyoonekana katika eneo la Mabogini. |
 |
| Mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Leonidas Gama akiangalia hatua ya mwisho ya maji taka
ambayo yamekuwa yakitumika kwa ajili ya umwagiliaji wa zao la Mpunga
katika skimu ya Lower Moshi. |
 |
| Watumishi wa
mamlaka ya maji safi na maji taka wakifuatilia hotuba ya mkuu wa mkoa
wa Kilimanjaro ,Lleonidas Gamaalipotembelea mamlaka hiyo. |
 |
| Mkurugenzi wa
mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,Mhandisi Cyprian
Luhemeja akitoa taarifa ya mamlaka hiyo kwa mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Leonidas Gama alipotembelea mamlaka hiyo kujionea vyanzo
vya maji. |
 |
| Mkuu wa wilaya
ya Moshi ,Ibrahim Msengi akizungumza katika kikao cha maofisa wa ngazi
za juu wa MUWSA mara ya baada ya mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
Leonidas Gama kuhitimisha zaiara ya kutembelea vyanzo vya maji.
|
 |
| Mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Leonidas Gama akizungumza mara baada ya kuhitimisha ziara
ya kutembelea vyanzo vya maji vya mamlaka ya maji safi na maji taka
mjini Moshi(MUWSA) |
 |
| Menja fedha wa
mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,Grace Msiru akitoa neno
la shukurani kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama (hayupo
pichani) mara baada ya ziara ya kutembelea vyanzo vya maji vya mamlaka
hiyo. |
|
Na Dixon Busagaga wa globu jamii,Moshi.
No comments:
Post a Comment